Monday , 24th Oct , 2022

Msanii Barakah The Prince amesema anawashukuru wasanii wa kike kumbeba kwenye mziki wake kuanzia shows, waki-request na wengine wakizitumia kwa wanaume zao wanaowapenda. 

Picha ya msanii Barakah The Prince

Barakah amesema hivyo kupitia Kitengo cha Planet Bongo ya East Africa TV akizungumzia ujumbe wa content za nyimbo zake za mapenzi anazoziachia.