
Waziri wa katiba na sheria meshimiwa Dkt Damas Ndumbaro
Waziri wa katiba na sheria meshimiwa dakta Damas Ndumbaro amesema hayo katika maadhimisho ya miaka 77 ya umoja wa mataifa un ambapo amesisitiza umuhimu wa utekelezwaji wa mkataba wa paris juu ya ulinzi wa mazingira kupunguza athari za uchafuzi wa hali ya hewa.
Maadhimisho hayo yameenda sambamba na uzinduzi wa tovuti ya kwanza ya lugha ya kiswahili ya umoja wa mataifa ambapo tanzania pia imeomba un kuitambua lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya mawasiliano katika umoja huo.
Umoja wa mataifa ulianzishwa mwaka 1945 ikiwa na mataifa na lakini mpaka sasa ina jumla ya mtaifa 193 ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni maendeleo yanayozingatia ujumuishwaji wa makundi yote....