
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura akiwa na Mwenyekiti wa Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF- NET) ambaye pia ni Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu CP Susan Kaganda
IGP Wambura amesema hayo wakati akifungua kikao kazi cha watendaji wa mtandao huo kwenye kikao kilichowahusisha maafisa na askari wa kike wa vyeo mbalimbali kutoka Makao Makuu ya Polisi Dodoma.
Naye Mwenyekiti wa Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF- NET) ambaye pia ni Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu CP Susan Kaganda, amesema kuwa tangu kuanzishwa kwa mtandao wa Polisi wanawake mwaka 2007 ambapo hadi sasa mtandao huo umefikia mafanikio mbalimbali ikiwemo uanzishwaji wa madawati ya jinsia na watoto.