Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wananchi watishia kuchoma moto kijiji chao

Thursday , 26th Jan , 2023

Wananachi wa Kijiji cha Nyamikoma kilichopo Wilayani Butiama mkoani Mara wametishia kuchoma moto kijiji hicho endapo Mtendaji wa kijiji hicho Goodluck Makunja atahamishwa ambapo wanadai amekuwa akitenda kazi kiudalifu tofauti na watendaji waliopita

Wananchi hao wamefikisha ombi hilo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Patricia Kabaka  baada ya kupata taarifa ya kuhamishwa kwa mtendaji huyo kijijini hapo 

Katika mkutano wa dharura uliofanyika katika kijiji hicho ajenda ilikuwa moja tu ya kutaka mkurugenzi kusitisha uamauzi wake wa kumwamisha mtendaji huyo wa kijiji.

Wanachi hao pia walibeba mabango yenye maandishi tofauti tofauti ambayo yalikuwa yakimtaka mkurugenzi huyo kubadili maamuzi ya kumwamisha mtendaji huyo wa kijiji na hapa wanaelezea hisia zao.

Mkurugenzi wa Halmashauri akizungumzia suala hilo kwa njia ya simu amesema hakuna jambo lililofichwa juu ya suala hilo ila ni taratibu za kazi ambapo kila mtumishi anaweza kuhamishwa

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala