Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Diwani afukia kisima kilichochimbwa na wananchi

Tuesday , 28th Mar , 2023

Wakazi wa kitongoji cha Nyangalamila B kata ya Irenza Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza wamemkataa diwani wa kata yao baada ya kufukia kisima walichokuwa wanachimba kwa ajili ya kupata huduma ya maji karibu

Wakazi hao wamesema kutokana na Kitongoji hicho kukosa huduma ya maji kwa muda mrefu hali inayowapeleka kutembea zaidi ya kilometa tano kutafuta huduma hiyo na kwamba wakienda ziwani wanashambiliwa na mamba waliueleza uongozi wa Kitongoji hicho ukaamua kumueleza mbunge wa jimbo hilo la Buchosa Erick Shigongo aliyetoa fedha ya kuchimba kisima hicho ili kuwaondolea adha hiyo ya kuliwa na mamba lakini cha kushangaza diwani akakifukia

"Mbunge wetu ametuonea huruma akatuchimbia kisima lakini tunashangaa sisi wanakijiji cha Nyangalamila diwani akaja kufukia kisima anatutakia mema au mabaya?

Kwa upande wake diwani wa kata hiyo Mneke Mauna anayedaiwa kufukia kisima hicho amesema aliamuru kifukiwe kutokana na kutoutambua mradi huo kwenye eneo la kata yake

Fikiri Dotto ni mwenyekiti wa kitongoji hicho cha Nyangalamila B akaeleza masikitiko yake baada ya diwani kufukia kisima hicho

"Tunaomba fikisheni taarifa kwa mbunge na Rais Samia wazipate hizi taarifa kwamba Samia ametoa fedha kwa sababu ya kuwasaidia wananchi na ilani ya CCM inasema kwamba miradi ya maendeleo wananchi wasaidiwe leo mheshimiwa diwani amekuja kufukia kisima naomba mtufikishie taarifa kwa mbunge pamoja na Tanzania nzima kama kweli Tanzania nzima ina madiwani kama huyu wasiowatakiwa wanachi wao mema"
 

HABARI ZAIDI

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi