
Msimu uliopita klabu hiyo imefanikiwa kufunga jumla ya magoli 64 ikiwa ni timu iliyofunga mabao machache katika timu zilizomaliza nafasi nne za juu huku wakiruhusu mabao 43 ikiwa ni timu ya pili iliyoruhusu mabao mengi zaidi katika timu zilizomaliza nafasi nne za juu nyuma ya akiongozwa na Man City aliyeruhusu bao 44.