Monday , 20th Oct , 2025

Mgombea urais kupitia Chama cha Wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwiru amepewa uchifu wa kabila la Wasukuma na kuitwa 'Sonda' ikimaanisha nyota angavu.

Mwanasiasa huyo alivishwa mavazi ya kichifu, katika mkutano wake wa kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika eneo la Pasiansi jijini Mwanza juzi.