"Mimi ni Icon kwenye Industry" - Enock Bella Picha ya Enock Bella akiwa na mke wake Msanii Enock De Base amesema yeye ni Icon kwenye Industry ya mziki wa Tanzania hivyo sio mbaya msanii mwingine kumuiga sauti yake kwa sababu watu wanapenda anachofanya. Read more about "Mimi ni Icon kwenye Industry" - Enock Bella