Pablo '' hatuna presha na Yanga'' wachezaji wa Simba na Yanga. Kocha Mkuu wa Simba Pablo Franco amesema wapinzani wao Yanga kwenye mchezo wa Kombe la shirikisho hatua ya nusu fainali hawampi presha kwa kuwa wanaamini watafanya maandalizi mazuri. Read more about Pablo '' hatuna presha na Yanga''