Alikiba amsafirisha Mwalimu wake wa mazoezi

Picha ya Alikiba na Trainer wake Denzel

Mwalimu wa mazoezi wa Alikiba Denzel Trainer amesema msanii huyo amemsafirisha kwa mara ya kwanza kwenda nje ya nchi South Africa kwa ajili ya kuongeza ujuzi kwenye kazi yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS