Achumbiwa mbele ya Jeneza la baba yake
Raia mmoja kutoka katika Jimbo la Limpopo nchini Afrika Kusini ameibua mjadala baada ya kuweka video yake katika mtandao wa TikTok ikimuonyesha akimvisha pete ya uchumba mchumba wake mbele ya Jeneza la baba wa msichana huyo.