Tunalipa faini CAF , Simba kikosi cha Simba. Uongozi wa klabu ya Simba umekiri kosa na kubainisha kuwa ipo tayari kulipa faini ambayo Bodi ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imewatoza. Read more about Tunalipa faini CAF , Simba