Majibu ya Katambi kwa ambao hawajapata mkopo
Naibu Waziri Ofisi wa Waziri Mkuu, Vijana, Kazi na Ajira, Patrobas Katambi, amesema kwamba zaidi ya bilioni 150 zimekwishatolewa kwa vijana kama mikopo na kusema kama kuna kijana yeyote ambaye hajapata mkopo itakuwa pengine ni Mkenya.