Watu zaidi ya 30 wauawa Kagera ndani ya miezi 3

Kamishna wa Polisi Jamii Tanzania, Mussa Ally Mussa

Kamishna wa Polisi Jamii Tanzania, Mussa Ally Mussa, amesema kuwa mkoa wa Kagera bado una idadi kubwa ya matukio ya mauaji na kwamba katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia Januari hadi Machi mwaka huu, yametokea wastani wa mauaji kati ya watu 30 hadi 40.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS