Wataalam wa manunuzi watakiwa kuwa waadilifu
Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongela, amewataka wataalam wa ununuzi na ugavi pamoja na wadau wote wanaohusika kwenye michakato ya ununuzi kuzingatia misingi ya uadilifu wakati wote wanapotekeleza majukumu yao.