Akimbia kilomita 4399 na mguu mmoja
Jacky Hunt-Broersma kutokea Arizona, Marekani ambaye mwaka 2002 alikatwa mguu mmoja kwa sababu ya ugonjwa wa kansa, amevunja rekodi ya Dunia ya kukimbia marathon 104, kwa siku 104 amekimbia kilomita 4,399 ambapo kwa siku alikuwa anakimbia kilomita 42.1