Watakiwa kukemea ramli chonganishi
Kaimu Mkuregenzi Msaidizi anayeshughulikia Tiba Asili na Tiba Mbadala Wizara ya Afya Bi. Lucy Nziray ametoa wito kwa Waratibu wa Tiba asili na Tiba mbadala ngazi ya Halmashauri kukemea ramli chonganishi zinazofanywa na baadhi ya Waganga wa tiba asili wasio waaminifu.