Taasisi za umma zaagizwa kutumia mfumo wa TANePS

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Jenifa Omolo, akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa wiki ya ununuzi wa umma, iliyoratibiwa na Wizara ya Fedha na Mipango kwa kushirikiana na taasisi zinazosimamia ununuzi wa umma nchini, jijini Arusha.

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kuhakikisha kuwa taasisi zote za umma zinatumia Mfumo wa Ununuzi kwa Njia ya Mtandao (TANePS) na hatua kali zichukuliwe dhidi ya maafisa masuuli ambao taasisi zao zitakaidi matumizi ya mifumo katika ununuzi wa umma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS