"Producers wa filamu Hollywood wamechoka"- Seko
Mwandaaji wa filamu ya Binti Seko Shamte, amesema kwamba anadhani hata waandaaji wa filamu wa nje ya nchi siku hizi wamechoka kwani wamejikuta wakirudia kuandaa filamu zile zile ama kuandaa filamu ambazo ni rahisi kutabirika.