Bangi itafufua uchumi wetu - Mgombea urais Kenya Mgombea urais nchini Kenya kwa tiketi ya chama cha Roots Profesa George Wajackoyah ameahidi kuhalalisha biashara ya zao la bangi huku akisema zao hilo litafufua uchumi wa Kenya unaozidi kuzama. Read more about Bangi itafufua uchumi wetu - Mgombea urais Kenya