Watano washikiliwa kwa mauaji ya Mwalimu

Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Ramadhan Ng’anzi

Watu watano wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za kumuua mwalimu wa shule ya sekondari ya wasichana Bwiru na kisha kuiba vitu mbalimbali vikiwemo Television, Radio pamoja na Pasi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS