Wanaosema hatukamilishi miradi ni waongo
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya awamu ya Sita inaendelea kukamilisha miradi yote ya maendeleo iliyoanza wakati wa serikali ya awamu tano huku akisisitiza kuwa miradi mingi imeanza kukamilika.