Rais apinga kiwango cha mshahara cha milioni 1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba mahesabu ya nyongeza ya kima cha mshahara yanaendelea na kukataa kile kiwango cha milioni 1 na elfu 10 kilichotajwa na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS