Mtoto wa mbunge aliyezikwa juzi afariki dunia Marehemu Irene Ndyamkama Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa viti maalum mkoa wa Rukwa Irene Ndyamkama, amefariki dunia jana Aprili 30, 2022, baada ya kuishi kwa siku saba. Read more about Mtoto wa mbunge aliyezikwa juzi afariki dunia