DC Jokate atoa siku saba aone ulinzi shirikishi Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo ametoa siku saba kwa wenyeviti wote wa Serikali za mitaa ndani ya wilaya hiyo wawe wameanzisha ulinzi shirikishi. Read more about DC Jokate atoa siku saba aone ulinzi shirikishi