Kumtania mtu ana upara ni unyanyasaji wa kijinsia Tony anadai alifanyiwa tukio hilo mwaka 2019. Fundi umeme, Tony Finn aliyefanya kazi katika kampuni mmoja huko Uingereza kwa miaka 24 kabla ya kufukuzwa kazi mwezi Mei mwaka jana, aliifikisha mahakamani kampuni hiyo kwa unyanyasaji wa kijinsia. Read more about Kumtania mtu ana upara ni unyanyasaji wa kijinsia