Makusanyo ya madini yaongezeka kwa asilimia 2.5

Pichani ni dhahabu, madini yanayochimbwa Tanzania

Madini yenye thamani ya Shilingi trilioni 6.439 yalizalishwa na kuuzwa nchini katika kipindi cha Julai 2021 hadi Machi 22, 2022, hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Waziri wa Madini Dkt. Dotto Biteko wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti ya wizara mwaka wa fedha 2022/2023 Bungeni, Dodoma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS