Royal Tour ni lango la maendeleo Tanzania
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mwenyekiti wa Kamati ya Rais ya Kuitangaza Tanzania, Dkt. Hassan Abbasi amesema filamu ya Royal Tour ni lango linalokwenda kufungua maendeleo kwenye kila sekta hapa nchini.