
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba,
Kauli hiyo ameitoa Bungeni hii leo Mei 9, 2022, jijini Dodoma, na kwamba hata nchi za SADC zinaiona Tanzania kama nchi ya mfano na wanayapenda maono.
"Tunapopeana fursa za kurekebisha zaidi turekebishe ili twende tu kwa kasi zaidi lakini si kwamba nchi haijawahi kuwa na viongozi wenye maono na kwamba haijawahi kwa na mipango, nchi nyingi tu mipango wanayotekeleza wame-copy kutoka Tanzania," amesema Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba