Mr Nice amuwashia moto Dudubaya "Umelaanika" Picha ya Dudubaya na Mr Nice Legend na staa wa muziki zamani 'Mr Nice' amemjia juu Dudubaya kwa kitendo cha kumtukana mtoto wake mbele ya Camera akidai msanii huyo akili zake haziko timamu. Read more about Mr Nice amuwashia moto Dudubaya "Umelaanika"