Tuhuma za Askari wawili kuchunguzwa tukio la Mdude Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa, linachunguza tuhuma za askari wawili kuhusika kwenye tukio la kujeruhiwa na kupotea kwa kada wa CHADEMA Mdude Nyagali. Read more about Tuhuma za Askari wawili kuchunguzwa tukio la Mdude