"Harmonize anataka nimlipe Bilioni 1" - Ibraah Picha ya Harmonize na Ibraah wakiimba pamoja Kutoka Konde Music Worldwide Ibraah ameambiwa alipe Tsh Bilioni 1 na boss wake pesa ambayo imemshinda anataka msaada wa kuchangiwa na mashabiki. Read more about "Harmonize anataka nimlipe Bilioni 1" - Ibraah