Kim Jong-un asisitiza kuendelea na nyuklia Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un amelihutubia jeshi la nchi hiyo na kusema kuwa , mipango ya kuendeleza shughuli za nyuklia nchini ipo na kutaka kazi hiyo iendelee. Read more about Kim Jong-un asisitiza kuendelea na nyuklia