Tanzania yakaribisha wawekezaji kutoka duniani

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Taasisi ya Benki ya Dunia inayoshughulika na utoaji Dhamana katika Uwekezaji kwa Sekta Binafsi (MIGA), Bw. Junaid Kamal Ahmad, Makao Makuu ya Benki hiyo, Jijini Washington DC, Marekani.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba, ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchangamkia fursa za uwekezaji zinazopatikana nchini Tanzania katika sekta mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS