Ubovu wa soko la Msasani Magengeni
Wafanya biashara wa soko la msasani jijini Dar es Salaam wamesema mazingira ya soko lao Kwa sasa hayastahili kutokana na soko hilo kuwa na Miundombinu mibovu ya soko hilo pamoja na barabara zinazozunguka soko hilo.