Wanaume wanaonyimwa unyumba watakiwa kuripoti
Wanaume wanaofanyiwa ukatili wa kijinsia ikiwamo kupigwa na kunyimwa unyumba na wake zao majumbani, wametakiwa kwenda Polisi kutoa taarifa juu ya unyanyasaji huo wa kibinadamu katika Dawati la Jinsia, ili wahusika wachukuliwe hatua za kisheria.