Rais mstaafu Honduras apelekwa Marekani Rais wa zamani wa Honduras amepelekwa Marekani ili kukabiliwa na madai ya ulanguzi wa madawa ya kulevya, chini ya miezi mitatu tu baada ya muhula wake kukamilika. Read more about Rais mstaafu Honduras apelekwa Marekani