Wananchi wanataka dawa kwenye vituo - Prof. Makubi
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameutaka uongozi mpya wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kuweka kipaumbele katika upatikanaji wa dawa katika maeneo yote pamoja na kuharakisha mchakato wa kusambaza katika nchi za SADC.