Wakulima wa zabibu walipwe pesa zao - Mavunde

Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde

Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde amewaagiza viongozi wa ushirika wa zabibu UWAZAMAM kuhakikisha unawalipa wakulima haraka malipo ya zabibu zao walizonunua. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS