Hatufanyi biashara ya binadamu - Rais Kagame Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema kuwa nchi yake haifanyi biashara ya binadamu, ikiwa ni maoni yake ya kwanza toka nchi hiyo iingie makubaliano ya kupokea wahamiaji kutoka nchini Rwanda. Read more about Hatufanyi biashara ya binadamu - Rais Kagame