Watanzania kutumia fursa mashindano ya Quran
Kufuatia kuhitimishwa kwa mashindano ya Africa ya 22 ya quran ambayo hufanyika kila mwaka na kuandaliwa na taasisi ya al hikma chini ya mwenyekiti wa mashindano hayo sheikh Nurdini Kishiki wadau wa mashindani hayo wamesema licha tuu ya kuwa ni kumkumbuka alah katika mwezi mtukufu lakini