Amvua wigi, viatu na kumpokonya simu mpenzi wake
Marehemu Isa Kijoti aliwahi kuimba kwamba 'Kanunua simu kampa demu walipoachana kampokonya', hiyo imetokea huko Nigeria baada ya jamaa mmoja kumvua wigi, viatu na kumpokonya simu mpenzi wake baada ya kumkuta na mwanaume mwingine.