Steve Nyerere aitwa usemaji wa Muziki Kenya Picha ya msanii wa filamu Steve Nyerere Msanii Ten Ballz kutoka 254 Kenya amesema ataongea na wahusika wa soko la muziki wa Kenya kama wanaweza kumvuta msanii wa filamu Steve Nyerere kuwa msemaji wao. Read more about Steve Nyerere aitwa usemaji wa Muziki Kenya