Man.United waongoza kwa kufungwa na Liverpool EPL
Baada ya kukubali kichapo cha magoli 4 kwa sifuri kutoka kwa Liverpool usiku wa jana, sasa klabu ya Manchester united ndio timu iliyoruhusu kufungwa magoli mengi zaidi na Liverpool katika historia ya ligi kuu ya England kuliko mpinzani mwingine yoyote wakifungwa jumla ya magoli 74.