Juventus, Fiorentina mmoja kumfata Inter Fainali
Mabingwa wa Italia Inter Milan wamefuzu hatua ya fainali ya michuano ya Coppa Italia kwa ushindi wa Jumla wa mabao 3-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi AC Milan. Katika hatua ya fainali watacheza na mshindi wa jumla wa mchezo kati ya Juventus na Fiorentina.