Wawekezaji wa Kigeni wahusika zaidi soko la hisa
Soko la hisa la Dar es salaam limerekodi mauzo ya bilioni 10.6 katika kipindi cha wiki mbili za mwanzo za mwezi Aprili, kiasi ambacho ni sawa na karibu theluthi moja ya mauzo ya robo mwaka katika robo ya kwanza ya mwaka huu ambapo wawekezaji wa kigeni wamehusika zaidi kununua na kuuza hisa