Haji Manara atangaza kuongeza mke wa tatu 

Picha ya Haji Manara na mke wake wa pili Rubynah Bint Salum

Baada ya kuongeza mke wa pili Alhamisi iliyopita msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara amefunguka mpango wa kuongeza mke wa tatu na wanne kwa sababu taratibu za dini zinamruhusu. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS