Madrid wanapendelewa na waamuzi - Hans Flick

Hans Flick Kocha wa Barcelona

Kocha wa Barcelona, Hansi Flick, amezungumzia hali ya ushindani na usawa wa waamuzi katika mechi za Ligi Kuu Hispania, akisisitiza hitaji la uwazi na umakini wa hali ya juu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS