Nilisisitiza Marioo aoe kabla ya ujauzito - Lugumi

Picha ya Saidi Lugumi akizunguma na Marioo na Paulah kuhusu ndoa

Kaka wa Kajala Bilionea Saidi Lugumi amesisitiza ndoa kati ya Marioo na Paulah kwenye sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mtoto wao Amarah ambaye ametimiza mwaka mmoja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS