Tiwa Savage awatosa Wizkid,Burna Boy na Davido Picha ya Burna Boy, Wizkid na Davido Ameulizwa Malkia wa muziki wa Afrobeats Nigeria Tiwa Savage “Kuna nafasi moja kwenye boti utamuokoa nani kati ya Wizkid,Burna Boy,Davido na Rema? Read more about Tiwa Savage awatosa Wizkid,Burna Boy na Davido